Archive
Historical club news from past seasons
Azam FC yatekeleza agizo la Rais Magufuli
TIMU ya Azam FC leo imetekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, la...
Azam FC yarejea mzigoni kuipashia Mbeya City
KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo Jumatano jioni kimeanza rasmi mazoezi kujian...
Azam FC yaongoza kundi; yaitandika Adama City 5-0
Ikicheza soka safi la hali ya juu na kuelewana muda wote wa dakika 90, Azam FC leo imeigalagaza vibaya Adama C...
Azam FC yajipanga kuendelea na moto TPL
BENCHI la ufundi la Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, limejipanga vilivyo kuwajenga wachezaji...
Azam FC yajidhatiti kufanya kweli vs Tanzania Prisons
KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, tayari kimewasili salama mkoani Mbeya kikiwa kim...
Azam FC yaianzia dozi Yanga, mechi yapelekwa Uhuru
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeanza rasmi mazoezi kujiandaa na mchezo ujao dhidi ya Yan...
Azam FC walipotembelea kituo cha watoto yatima Moshi
Copyright © 2007 - 2019 Azam Football Club. All Rights Reserved. Developed and Maintained by Dibrax Ltd.
Azam FC tayari ipo Singida kufanya makubwa
KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, tayari kipo mkoani Singida kufanya mambo makubwa...
Azam FC mguu sawa Nyanda za Juu kuwania pointi sita
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa nje ya jiji la Dar es Salaam kwa wiki moja ikihamis...
Azam FC kucheza na Transit, Arusha UTD
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Transit...
Azam FC kuanza na URA Ijumaa
MABINGWA wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, wanatarajia kucheza mechi ya kwanza ya kirafiki kwenye kambi ya...
Azam FC hiyoo Uganda kunoa makali
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kuondoka nchini kesho Jumatatu saa 1 asubuhi, ku...
Azam FC ‘kazi kazi’ v Bidvest Wits kesho
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, ipo kamili kabisa kuingia vitani na kusaka matokeo bora kati...
Azam FC yanasa saini ya straika Ghana
UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unayofuraha kuwajulisha kuwa imefanikiwa kunasa...
Azam FC yanasa saini ya Nchimbi
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imethibitisha kuingia mkataba wa miaka miwili na mshambulia...
Azam FC mwendo mdundo, yaipiga ‘kidude’ Ndanda
NANI wa kuizuia Azam FC? Ndivyo unavyoweza kuuliza hivyo kutokana na Mabingwa hao wa Afrika Mashariki na Kati...
Azam FC kupasha misuli vs Mabatini Kombaini kesho
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kukipiga dhidi ya Mabatini Kombaini katika mchez...
Azam FC kujipima na ‘vibopa’ wa Uganda kesho
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kesho Jumatano itacheza mechi yake ya pili ya kujipima nguv...
Azam FC tumeachana na Donald Ngoma
KLABU ya Azam tunathibitisha kuachana rasmi na aliyekuwa mshambuliaji wetu, Donald Ngoma, baada ya mkataba wak...
Azam FC, TFF kuadhimisha siku ya utoaji damu duniani
KLABU ya Azam kwa kushirikiana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa pamoja wataadhimisha siku ya utoaji da...
Azam FC safarini Manungu
Timu ya soka ya Azam FC imesafiri leo kuelekea Manungu Turiani mkoani Morogoro kukwaana na Mtibwa Suga...
Azam FC kukipiga na Friends, Mvuvumwa
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki ndani ya siku na...
Azam FC kuendeshwa kiuweledi zaidi
UONGOZI wa Klabu ya Azam unaendelea na mchakato wa kufanikisha uendeshaji wa timu katika misingi ya kiuweledi....
Azam FC 1-2 AS FAR... Tumetolewa, Tunakubali
SOKA ni mchezo wa bahati wakati mwingine. Naam sadakta, usemi huo umedhihirika leo kwenye Uwanja wa Prince Mou...